Saturday 29 August 2015

#YALIYOJIRI>>Edward Lowassa Mgombea Urais kupitia UKAWA akihutubia katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA leo Viwanja vya Jangwani Jijini Dar.Msikilize hapa.

Edward Lowassa akizungumza na wanaUKAWA Viwanja vya Jangwani hii leo.
Hawa ni wanaUKAWA wakiwa wamejitokeza Viwanja vya Jangwani Hii leo

Zaidi ya Maelfu waliyojitokeza Viwanja vya Jangwani Jijini Dar-es-Salaam hii leo.
Zaidi ya Maelfu waliyojitokeza Viwanja vya Jangwani Jijini Dar-es-Salaam hii leo.

0 comments:

Post a Comment