Friday 28 August 2015

#MICHEZO>>>LIGI YA MABINGWA ULAYA HAPA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

*Ni Arsenal na Bayern tena

*Chelsea na Porto, Man City na Juventus

*Man United kujiuliza kwa PSV ya Depay

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) imetoka, ambapo kwa mara ya tatu katika misimu minne, Arsenal wamepangwa kucheza na mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich katika hatua ya makundi.

Pamoja nao, ni Olympiakos wa Ugiriki na Dinamo Zagreb wa Croatia, ambapo Arsenal watahitaji stamina na utimamu wa mwili kwani safari ya kwenda Croatia itakuwa siku chache tu kabla ya kucheza tena ugenini kuwakabili Chelsea katika mechi ya Ligi Kuu ya England (EPL).

Safari hii, mechi baina ya Arsenal na Bayern zitafuatana, kwa maana kwamba wakishapepetana

0 comments:

Post a Comment