Saturday 27 August 2016

#Breaking News>>>>Dada mmoja akamatwa akiiba millini moja maeneo ya MABIBO SAHARA.Fahamu zaidi hapa.

Kutoka eneo la tukio Mabibo Sahara dada mmoja akamatwa kwa kuiba kiasi cha sh.Million moja kwa tigo pesa,Baada ya kutumiwa tu ndipo akaambiwa atoe hiyo ela aliyotumiwa  akasema sina huku akionekana  anauwoga  kwa kutaka kukimbia muda si mrefu watu wakamkamata na kumuhoji.

0 comments:

Post a Comment