Thursday 25 August 2016

#YALIYOJIRI>>>>RC PAUL MAKONDA AIBIWA SIMU JANA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani

0 comments:

Post a Comment