Friday 26 August 2016

#YALIYOJIRI>>>>Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA) anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi leo alfajiri.Fahamu zaidi hapa.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA) anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi leo alfajiri na anashikiliwa kituo cha kati.

Sababu za kukamatwa kwake bado hazijawekwa wazi

0 comments:

Post a Comment