Friday 26 August 2016

#YALIYOJIRI>>>>HIVI NDIVYO MAJAMBAZI 14 WALIVYO KAMATWA WENGI NI WANAJESHI WASTAAFU.KIONGOZI WAO NI KANALI MSTAAFU WA JESHI.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. Kiongozi wa wahalifu wao anadaiwa kuwa Kanali wa Jeshi mstaafu.

=> Polisi yaweka kizuizi cha barabara eneo la Kongowe, Mkuranga, magari yote yanayotoka na kuingia Dar yanapekuliwa.

0 comments:

Post a Comment