—————————— ——————-
Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT
Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana
usiku. Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali
gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu.
Sisi kama chama tunaliambia jeshi la Polisi kuwa lolote litakalotokea
kwa Kiongozi wetu wao watajibu kwa umma.
Msafiri Mtemelwa,
Kaimu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo
———————————————————————–
Hiyo ni moja ya Taarifa za kiongozi wa chama hicho kihusu kupitea kwa
ZITTO KABWE tangia Majira mchana na kutokujulikana alipo kwa sasa.
Katika mkutano wa wanahabari mwenyekiti wa chama hicho Mama AANA MGWIRA amesema kuwa anachofahamu kuhusu ZITTO KABWE ni kuwa walitakiwa wakutane katika kongamano Leo kila mtu akitokea kwake lakini Kutokana na kongamano hilo kutokufanyika hawakuonana ila akasema anaamini kiongozi wao yupo salama japokuwa ameonekana kutokuwa na Taarifa za kutosha kumhusu ZITTO KABWE.

0 comments:
Post a Comment