Sunday 12 June 2016

Nini kinaendelea kati ya Aslay Na Ruby, Cheki walichokiandika huko Instagram.Fahamu zaidi hapa.

Kuna uwezekano mkubwa kuwa Aslay na Ruby wana mahusiano ya kimapenzi,Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye mahusiano.

Haijajulikana kwa mara moja kama ni kiki au ni serious ni wapenzi ila hii ndio ishu inayo trend kwa sasa.
Post ya Ruby huko Instagram
Post ya Aslay

0 comments:

Post a Comment