Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm, hataki mchezo na anajua ugumu wa michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.
Ndiyo
maana baada ya timu yake kusafiri kwa saa takribani tisa kutoka Dar es
Salaam hadi Istanbul ambayo ni saa 7 na dakika 20, halafu kutoka
Istanbul hadi Antalya safari ya saa 1 ana dakika 20. Walipotua tu,
wamepumzika kidogo na kuanza mazoezi.
Kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi ingawa yalikuwa mazoezi mepesi.
0 comments:
Post a Comment