Kikosi cha Yanga ambacho kimeondoka leo alfajiri kipo mjini Antalya nchini Uturuki ambako wameweka kambi kujiandaa na mechi yao dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria.
Hotel ya kitalii ya Riu Kaya Belek kama inavyoonekana pichani walipofikia Young African SC kwa ajili ya kambi ya muda mfupi kujinoa dhidi ya Mo Bejaia jumapili ijayo katika kombe la shirikisho hatua ya robo fainali.
0 comments:
Post a Comment