Tiwa Savage amekula mkataba mnono baada ya kujiunga na Lebo ya Rock
Nation inayomilikiwa na Jay Z, Tiwa anakuwa ni msanii wa kwanza kutoka
Afrika kujiunga na Lebo hiyo maarufu Duniani.
Boss wa Rock Nation akiwa na Tiwa Savage na Don Jazzy
Hii haina maana kuwa ameiacha lebo yake ya Marvin ilioko chini ya Don Jazzy, Rock Nation itahusika na kumtangaza zaidi Kimataifa.
0 comments:
Post a Comment