Saturday 11 June 2016

PICHA:9:UCHAGUZI WA YANGA WAKATI WA KUPIGA KURA ULIOFANYIKA DIAMOND JUBILEE.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Kocha mkuu wa Young African Sports Club Hans van der Pluijm ni miongoni mwa wanachama wa klabu hiyo waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo unaoendelea katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

Uchaguzi wa Young African Sports Club kufanyika asubuhi hii katika ukumbi wa Diamond Jubilee Hall. 

Wakati huo huo timu hiyo kesho itakwea pipa kuelekea nchini Uturuki kuweka kambi ya muda kabla ya kuwavaa Mo Bejaia nchini Algeria tarehe 17 june. 


Watanzania kwa ujumla tunawatakia uchaguzi mwema wenye kila harufu ya demokrasia ya kweli na ushindi mwema dhidi ya Mo Bejaia . 

Chini ni picha mbalimbali ndani ya ukumbi asubuhi hii maandalizi yakiendelea kuliweka sawa eneo la uchaguzi. 

0 comments:

Post a Comment