HUYU NDO DEMU MPYA WA NAY WA MITEGO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Na sasa huenda amempata yule anayeweza kuanza kuwaonesha mashabiki.
Rapper huyo wa ‘Shika Adabu Yako’ amepost kwenye Instagram picha ya
msichana mrembo mwenye asili ya Kisomali na kuashiria kuwa tayari
ameshampata mrithi…Read More
#MICHEZO>>> Juventus yatwaa taji la Serie A.Fahamu zaidi hapa.
Klabu ya Juventus imetwaa Ubingwa wa Serie A huko Italy kwa mara ya 5 mfululizo.
Ushindi huo umekuja baada ya Timu ya Pili kwenye Ligi Napoli kufungwa 1-0 na AS Roma huko Stadio Olimpico Jijini Rome.
Juve waliifunga Fior…Read More
0 comments:
Post a Comment