Sunday 15 January 2017

Askofu Katoliki Ataka Viongozi Wanaoamini Taifa Halina Uhaba wa Chakula Waombewe Ili Waijue Kweli..!!!..Fahamu zaidi hapa.

Askofu mkuu wa jimbo la Mwanza Mhashamu Thadeus Ruwaichi amewataka waumini wafunge lovena kuliombea taifa juu ya baa la ukame na njaa pia kuwaombea viongozi watambue kuwa BAA HILO LIPO NCHINI KWA SASA.


Amesema hayo katika Parokia ya Pansiasi katika ibada ya kutoa kipaimara kwa vijana wa kikristo.

Kauli hii inatutaka waumini na raia kuwaombea wale viongozi wanaosema hakuna ukame wala njaa kwa vile wameona majani ni ya kijani.

Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment