Sunday 15 January 2017

Mpenzi Halindwi na Alarm wala Hawekewi Tracker, Analindwa na Mahaba na Care Unazompa.Fahamu zaidi hapa.

Mpenzi halindwi na Alarm wala hawekewi Tracker,analindwa na Mahaba na Care unazompa.

Ukimpa Mahaba Niue Nife Nayo basi atakuwa wako daima dumu,atajilinda mwenyewe na hataenda nje maana hakuna kipya kule ambacho kwako hapati,

Ukimpa Mahaba ya Kibaba cha Mafuta shallow,basi atatafuta mtu wa kujazilizia kwenye gepu!

Usipoteze muda kukaba nyendo za mpenzi wako kama beki wa Yanga, Invest kumridhisha Mpenzi wako kwenye kila idara ya Penzi lenu ili Mahaba yenu yabaki salama lasivyo jiandae kuwa mlinzi wa KK Security Night Shift bila gwanda!

Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment