Home »
Burudani
» Mapacha Waishi na Mwanamme Mmoja Kwa Furaha.Fahamu zaidi hapa.
MAPACHA
wawili wa kike wanaofanana, waitwao Anna na Lucy, wameamua kuishi na
mwanamme mmoja aitwaye Ben Bryne mwenye umri wa miaka 32 huko Perth,
Australia.
Wanawake
hao wanaishi na mwanaume huyo mmoja kwa kipindi kirefu huku wakishiriki
tendo la ndoa pamoja kwani wamejichukulia kuwa mwili mmoja kwa
kupendana na kutooneana wivu pindi mmoja wao awapo na mwanaume huyo.
“Ni mara yangu ya kwanza kuishi na marafiki wawili wa kike na wamekuwa waaminifu kwangu,” Byrne alimwambia mama yake.Anna
na Lucy wameandika rekodi mpya duniani ambapo vyombo vya habari
vimekuwa vikiandika sana habari zao ambapo wamekuwa kivutio kikubwa hasa
katika harakati za tasnia ya wanawake duniani. Watu wamekuwa
wakishangazwa na mtindo wao huo wa maisha wa kuishi na mwanamme mmoja.Watu
wengi wamekuwa wakihoji ni jinsi Byrne ameweza kulala na wanawake
wawili ambao ni mapacha wenye kufanana na akaweza kuwatofautisha!Wakati
huohuo, Anna na Lucy siku zote wameonekana wenye furaha kwa mtindo wao
huo wa maisha ambapo wanavalia nguo sare na kutoka sehemu za burudani
wakiwa pamoja na mpenzi wao.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
PICHA:Wasanii wakiwa Mtaa wa Magila Kariakoo wakiandamana kupinga kuuzwa filamu za nje.hapa.
Wasanii wa filamu Tanzania walipokuwa Mtaa wa Magila Kariakoo jana
wakiandamana kupinga kuuzwa filamu za nje wakidai zinaua soko la ndani.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Haba… Read More
Video:Bella Fasta awawashia moto wasanii walioandamana kisa filamu za nje.
Msanii wa muziki na filamu, Bella Fasta amefunguka kwa kudai kuwa
hajapendezwa na kitendo cha baadhi ya wasanii wa filamu nchini
kuandamana kupinga filamu za nje, kwa madai hatua hiyo ilitakiwa
kujadiliwa na wasanii wot… Read More
Bifu la Mange na Jack Wolper Lafika Pabaya...Wolper Amjibu Mange Hivi.
Bifu la Mange na Wolper lililoanza Jana ghafla linaendelea, Wolper Amjibu Mange Hivi :
"Mange Kimambi,Usinitafute sana kwasababu mm naishi nitakavyo sio utakavyo wala watakavyo,pili Ustar wangu nahisi
mvutano wowote na … Read More
Picha: Mamia wajitokeza kumzika baba yake Belle 9, Morogoro.Mastaa wa muziki pamoja na wadau mbalimbali wamejitokeza kwa wingi hapo
jana katika mazishi ya baba wa staa wa muziki, Belle 9 aliyefariki akiwa
hospitalini mkoani humo usiku wa Aprili 18 akipatiwa matibabu baada ya
kugong… Read More
IDRIS Sultan Atokwa Povu Ukaribu wa Wema, Gabo.
MSANII wa komedi Bongo na mshindi wa
shindano la Big Brother Afrika 2015, Idris Sultan, ‘Dokta Mwaka’
ametokwa povu baada ya kuona picha za Wema Sepetu na Gabo Zigamba staa
wa filamu Tanzania.
Idris alichapisha katika u… Read More
0 comments:
Post a Comment