Sunday 15 January 2017

#MICHEZO>>>Everton wameipa Man City kipigo cha Azam alichompa WaKimataifa. #EPL.Fahamu zaidi hapa.

Leo Klabu ya Man City imekiona cha mtema kuni mara baada ya kucharazwa goli 4-0 na klabu ya Everton katika muendelezo wa ligi kuu soka Uingereza .

Chini ni video ya magoli ya mchezo huo ,unaweza kutazama



Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment