Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>RIADHA YAIBEBA TANZANIA INDIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
MWANARIADHA chipukizi wa kitanzania, Alphonce Felix Simbu
(aliyezaliwa 14 Feb 1992), ambaye katika mbio za Marathon za Olimpiki
zilizofanyika mwaka jana (2016) katika jiji la Rio de Jeneiro, Brazil,
alishika nafasi ya TANO ya Dunia, muda mfupi uliopita ameipeperusha vema
bendera ya Tanzania kwa kushinda mbio za Standard Chartered Mumbai
Marathon (India). Kijana Simbu amejinyakulia kitita cha Dola za Marekani
Elfu 67, sawa na TSh144m.
INAWEZEKANA... *HONGERA SANA SIMBU, HONGERA WAZIRI NAPE, HONGERA RAIS WA RT HON ANTHONY MTAKA NA WATANZANIA WOTE*👏🏾👏🏾
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
AZAM YAANZA KAZI YA USAJILI, YAMNASA MKALI WA TOTO AFRICAN.
Baada ya ukimya, Azam FC imeanza rasmi usajili kuimarisha kikosi chake.
Klabu hiyo ya Mbande, imemnasa mshambuliaji anayekuja kwa kasi hivi sasa nchini, Wazir Junior.
Junior
aliyependekezwa na Kocha Mkuu Aristica Ci… Read More
Hii Ndio Yanga Bana..Yatenga Bilioni 2 za Kufanya Usajili wa Kishindo..Chuji Aomba Kurudi Yanga Kukipiga Msimu Ujao.
SASA Yanga kumekucha. Baada ya kumaliza pilikapilika za kushangilia
ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa klabu hiyo inataka kuanza kazi
ya kuunda kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao.
Kamati ya Utendaji wa … Read More
Eh..Kumbe Mrisho Ngasa Yupo Yanga kwa Makubaliano Haya Eti.
WINGA aliyekipiga Mbeya City msimu uliopita, Mrisho Ngassa, amerejea
kwenye klabu yake ya zamani ya Yanga na leo amejumuishwa kwenye kikosi
hicho kilichocheza na Tusker kwenye michuano ya Super Cup, katika Uwanja
wa Uhu… Read More
Perez - Zidane Anaweza Kuifundisha Madrid Hadi Mwisho wa Maisha Yake.
Kocha Zinedine Zidane huwenda akaifundisha klabu ya Real Madrid maisha
yake yote kwa mujibu wa rais wa klabu hio, Florentino Perez ikiwa ni
siku chache baada ya kocha huyo Mfaransa kuchukua kombe la Champions… Read More
TIOTE AANGUKA GHAFLA AFARIKI DUNIA, NI YULE KIUNGO WA IVORY COAST, NEWCASTLE ZAMANI.
Kiungo wa zamani wa Newcastle, Cheick Tiote ameanguka ghafla na kupoteza maisha akiwa mazoezini.
Tiote
amepoteza maisha akiwa na umri wa miaka 30, alikuwa mazoezini katika
kikosi cha Beijing Enterprises kinachoshiriki… Read More
0 comments:
Post a Comment