Msanii mchekeshaji Steven Nyerere ameendelea kum diss TID kwa
kusema ni mtu ambaye wakati wake umepita na pia hajielewi na hawezi
kujifananisha naye
Amedai msanii huyo anaishi kwao na amekuwa akimpiga vizinga vya
10,000 na 5,000 kila akiona gari lake huku yeye akiwa ana nyumba na
anatunza familia na kununua mafuta ya magari kadhaa
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment