Msukuma nurusa amchape makonde Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji.
MBUNGE wa jimbo la Geita Vijijini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Geita,Joseph Kasheku Musukuma nurusa amchape makonde hadharani
Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji cha Ihumilo kata ya Nkome Wilayani humo
Thomas Halila, muda m…Read More
VIDEO:Mkutano wa Wema Kukabidhiwa Kadi ya Chadema Wayeyuka.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya
Pwani, Frederick Sumaye, ameahirisha mkutano wa waandishi wa habari
ulioandaliwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi kadi ya chama hicho aliyekuwa
mlimbwende w…Read More
Mke wa Mugabe Amtaka Mumewe Kumtangaza Mrithi.
Rais wa Zimabwe ametakiwa na mkewe kumtaja ''mrithi'' wake ili kupunguza migawanyiko kuhusu mtu atakayemrithi.
''Rais hafai kuwa mwoga kumchagua mrithi wake na neno alke litakuwa la mwisho'',alisema bi Grace Mugabe.
Bwa…Read More
0 comments:
Post a Comment