Hivi karibuni baada ya video kusambaa mitandaoni, ikimuonyesha
mchungaji gwajima akimtoa mtu mapepo huku akiamuru mapepo hayo yaende
kwa mheshimiwa paul makonda,hata hivyo,pepo hilo lilimjibu gwajima kuwa
huyo mtu haingiliki wamemshindwa.
Kitendo cha kuamuru pepo litoke na kuingia kwa makonda kimelaaniwa
na wananchi wengi na kumtuhumu mchungaj huyo kuwa sio mchungaji bali
anatumia jina la Mungu kujipatia kipato,wengine walienda mbali zaidi na
kutaka vyombo vya usalama vimchukulie hatua mchungaji huyo kwa kupotosha
watu.
Hii ndio Video ambayo mchungaji Gwajima anasikika akiyaamuru mapepo
ya mwanamke huyu yamuendee anaye sumbua mkoa wa Dar… Lakini mapepo
yamekataa na kusema anayesumbua Dar Haingiliki kabisaa… Swali je
anayesumbua Dar kwa sasa ni Nani????? Na je kwanini Gwajima anataka
kumtumia mapepo??? Hakika Vita inapamba moto…
.
Sikiliza kwa makini na tazama video hii usikie mambo live bila chenga.. .
Toa maoni yako /neno kuhusu haya yanayosikika hapa!!!
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment