Monday 14 March 2016

#MICHEZO>>>Video ya goli la Mbwana Samatta alipoisaidia KRC Genk kuibuka na ushindi wa goli 4-1.Fahamu zaidi hapa.

Mbwana Samatta mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji March 13 alipata nafasi ya kuanza na kikosi cha Genk kwa mara ya kwanza na hili ndio goli lake la kwanza akicheza first eleven na la pili toka ajiunge na klabu hiyo.
 
 

0 comments:

Post a Comment