Wednesday 16 March 2016

Picha za Mke wa Christian Bella ajifungua mtoto wa kiume nchini Sweden.Fahamu zaidi hapa.

 Christian  Bella ana mtoto anaitwa jordan (7) Hance (2) pamoja na Christopher ambae amezaliwa hivi kalibuni.Hii habari ameiyandika kwenye ukulasa wake wa instagram.

"Asante mungu kwa kunipa mtoto nina furaaa sanaa.Alizaliwa jana usiku Hospital Karolinska ,stockholm Sweden karibu sana my boy Christopher penda sn wewe sanaa".

Mke wa Christian  Bella anaishi nchini Sweden.

0 comments:

Post a Comment