Wednesday 16 March 2016

Mwanamuziki mkongwe Joseph Mbilinyi maafu kwa jina la "SUGU" kuachia ngoma yako mpya.Fahamu zaidi hapa.

Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza namna ambavyo muziki wa hip hop kwa sasa na kuhusu yeye kutoa ngoma.
 “Mimi bado mwanamuziki hata juzi nilikuwa studio narekodi ngoma mpya ambayo itasikika hivi karibuni, zamani tulikuwa tunajivunia mistarii lakini sasa hivi ni mambo ya Branding tu, kutoa video kali basi, nimeona ngoma mpya ya Fid Q amebadilika na amejaribu kuendana na muziki wa sasa unavyotaka”

0 comments:

Post a Comment