Monday 14 March 2016

#YALIYOJIRI>>>Picha 12 za Mkutano wa Hadhara wa Kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza.Fahamu zaidi hapa.

Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji, jana alitambulishwa rrasmi kwa wakazi wa Mwanza kwenye uwanja wa furahisha.

Viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chadema pamoja na baadhi ya Wabunge kutoka Chadema walikuwepo kuushuhudia utambulisho huo wa Katibu Mkuu wao kwa wananchi.

0 comments:

Post a Comment