Friday 11 March 2016

#YALIYOJIRI>>>Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Keshawasili Jijini Mwanza Kwa Ajili ya Kikao cha Kumpata Mrithi wa Dr. Slaa.Fahamu zaidi hapa.

 Mwenyekiti wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo (CHADEMA) akiwasili uwanja wa ndege jijini Mwanza.kwaajili ya mkutano wa  baraza kuu CHADEMA  ambao utamtangaza  Katibu  mkuu wa chama hicho kuchukua mikoba ya Dr. Slaa
 Mwenyekiti Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliofika kumlaki uwanja wa ndege
 Mwenyekiti wa baraza la wazee akiwasili uwanja wa ndege mwanza
 Mwenyekiti wa chadema akiwasili hotel ya Gold Crest ambako mkutano wa baraza kuu chadema utafanyika.Kulia ni afisa habari wa chadema Tumaini Makene
 Makamu katibu chadema Mh Salum Mwalimu akimpokea mwenyekiti
 Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo akijadili jambo na makamu katibu
Makamu katibu Mh Salum Mwalimu akimlaki kwa bashasha kubwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA,Tanzania visiwani

0 comments:

Post a Comment