Sunday 23 July 2017

MASKINI Tazama Jengo la Ghorofa Saba Ambalo Mmiliki Ameshindwa Kulipa Mkopo Hivyo Kupigwa Mnada.

Kampuni ya Udalali ya Yono inatarajia kupiga Mnada Jengo la Abla Complex lenye urefu wa ghorofa saba lililopo Mikocheni Dar es Salaam kutokana na mmiliki wake kushindwa kulipa mkopo anaodaiwa na KCB Bank Limited.

Yono wataendesha Mnada huo August 12, 2017.

TAZAMA VIDEO:


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment