Tuesday 25 July 2017

VIDEO: Alichozungumza Mke wa Tundu Lissu Baada Mume wake Kukosa Dhamana.

Leo July 24,2017 Rais wa TLS na mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefikishwa ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa kosa moja la kutoa lugha ya uchochezi.

Hata hivyo, Lissu amerudishwa baada ya kukosa dhamana kutokana na pingamizi lililowasilishwa na upande wa mashtaka. Kesi imeahirishwa hadi July 27, 2017 kwa ajili ya Hakimu Mashauri kutoa uamuzi kama Lissu apate dhamana au la. Nje ya mahakama hiyo, Mke wa Lissu Alicia Magabe amezungumza haya…….

’Kwa kweli sikutarajia maamuzi kuhusiana na kesi yake, ameshawekwa mahabusu mara nyingi sana namjua yuko imara sana– Alicia, Mke wa Tundu Lissu

Hii hapa chini ni video ya Mke wa Tundu Lissu akiongea


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa


0 comments:

Post a Comment