Saturday 22 July 2017

SAMATTA AMJIBU ROONEY, ATUPIA, NAYE ATUPIA, EVERTON, GENK ZAMALIZANA 1-1

Everton imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KRC Genk ya Ubelgiji katika mechi ya kirafiki kujiandaa na msimu mpya.

Mshambuliaji mpya wa Everton, Wayne Rooney amefunga bao lake la pili akiwa na Everton lakini Mtanzania Mbwana Samatta, naye amesema hapa, akamjibu.


Samatta aliifungia Genk bao la kusawazisha baada ya bao hilo la Rooney na mwisho kufanya timu hizo zimalize kwa sare hiyo ya 1-1.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment