Wednesday 16 August 2017

Haya ndiyo machungu ya Wananchi Wamwaga Machozi Moto Ukiteketeza Soko Kuu SIDO Jijini Mbeya.

 Soko kuu la Jijini Mbeya maarufu kama SIDO limeungua moto usiku wa kuamkia leo .Moto huo ulianza majira ya saa 3 usiku ambapo mali za wafanyabiashara mbalimbali katika soko hilo zimeteketea.

Kwa upande mwingine wananchi wamesikika wakimwaga machozi ya lawama kwa Jeshi la Polisi wakilaumu kutoruhusiwa  kusogea eneo la tukio kuokoa mali zao kwa kuwafyatulia risasi hewani.
Hii ni mara ya tatu sasa ambapo soko hili liliisha ungua mara mbili mfululizo kabla ya  kuungua tena kwa mara nyingine  usiku wa kuamkia leo.

==> Tazama video ya tuki hilo hapo chini


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment