Sunday 20 August 2017

Wema Sepetu na Idriss Wamerudiana? Hichi Hapa Kaandika Wema Kuhusu Idriss Sultan, na Idriss Akaandikiwa Pia.

Moja ya stori inayoenea kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu hii ya Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ambaye hakuficha hisia zake na kuziweka wazi kwa kuandika ujumbe kwenye Instagram yake kuhusu Idriss Sultan.

Kama utakumbuka Wema na Idriss waliwahi kuwa mapenzini ambapo tangu kuachana kwao hapakuwa na stori zozote zilizowahusu wawili hao lakini leo kupitia Instagram yake Wema ameandika:

”Nikisema sitojivunia ntakuwa ni muongo na mnafki…Proud of you sana…Cant wait for these babies to launch…Im sure zitakuwa Killer…Cause one thing I know is that “Classy” defines you alot better than anything…😊 #SultanXForemen… Goodmorning World.” – Wema Sepetu
Baada ya ujumbe huo wa Wema Sepetu, naye Idriss Sultan aliandika kwenye Instagram yake:
“MOOD: Unakuta kakuposti tu wakati mmekulana block hadi kwenye email 😂… Dahhh 🙈 we mwanamke utakuja uniue 😅.. Thank you mke 😉 … Msishtuke, kwanzia lini mke anaachwa hata aolewe😂. Mungu Ibariki hii launch jamani #sultanXforemen” – Idriss.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment