Monday 7 August 2017

SINGIDA UNITED YAMCHUKUA MSHAMBULIAJI WA KAIZER CHIEF.

Singida United imemsajili mshambulizi wa Kaizer Chiefs ikiwa imefunga usajili wa wachezaji wa kigeni.


Michelle Katsavairo amejiunga na Singida United kwa mkopo akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.


Singida United na Kaizer Chiefs zimekubaliana kuhusiana na Katsavairo kuhusiana na mchezaji huyo ambaye anaaminika ni mkali kwa kufunga hasa kwa mashuti makali.
Katsavairo sasa anaungana na wachezaji wengine wa safu ya ushambulizi ya Singida United kama Simbarashe Nhivi, Danny Usengimana, Atupele Green na Katsairo Michelle raia wa Zimbabwe aliyetua leo.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment