Friday 16 February 2018

Mtoto wa Miaka 2 Amerudishwa Nchini, Baada ya Wazazi Wake Kukamatwa na Dawa za Kulevya China.

Taarifa tuliyoipokea kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ni kuhusu Watanzania wawili wamekamatwa nchini China January 19, 2018 wakiwa wamemeza dawa za kulevya tumboni kwenye uwanja wa ndege wa Baiyun Guangzhou 


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment