Wednesday 14 February 2018

Wazanzibar elfu 40 Wafungua Kesi Mahakamani Wakihoji Uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki(EACJ) wakihoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
-
Kesi hiyo imefunguliwa katika Masijala ya Mahakama hiyo iliyoko Dar na Rashid Adiy kwa niaba ya wenzake 39,999
-
Wadaiwa katika kesi hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment