Hivi karibuni mmiliki wa Leicester City, alitoa magari kwa kila mchezaji wa kikosi hicho baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa England.
Vichai
Srivaddhanaprabha aliwapa wachezaji wake kila mmoja gari aina ya BMW
I8s, thamani ya gari moja ni pauni 105,000. Magari hayo yanatumia umeme.
Pamoja
na kuonekana ni kama kitu, imeelezwa kwa Ujerumani wala si jambo geni
kwani tokea mwaka 2002, wachezaji wa Bayern Munich wamekuwa wakipewa
kila mmoja gari jipya kila msimu.
Magari
hayo aina ya Audi ambao ni wadhamini wa Bayern Munich, yamekuwa
yakitolewa kila kitu cha majira ya joto, mara moja kwa msimu bila ya
kujali wamekuwa mabingwa au la.
0 comments:
Post a Comment