Home »
Habari Moto
» Wenyeviti wa Serikali za mitaa watoa saa 24 kwa katibu mkuu TAMISEMI kuwaomba radhi.Fahamu zaidi hapa.
Wenyeviti wa Serikali za mitaa watoa saa 24 kwa katibu mkuu
TAMISEMI kuwaomba radhi na kutengua agizo la kuwataka wawakabidhi mihuri
watendaji wa mitaa.
Aidha wakawataka wakurugenzi wote wa Halmashauri nchini kuwaomba radhi ndani ya siku saba.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) afariki dunia.Fahamu zaidi hapa.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman
Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya
kuogelea.
Taarifa
zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Bwa.Suleim… Read More
#YALIYOJIRI>>>UKAWA washinda kiti ca Umeya Kinondoni, Dar es Salaam.Fahamu zaidi hapa.
Vyama vinavyounda UKAWA vimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa Umeya wa
Manispaa ya Kinondoni baada ya kupata kura 38 dhidi ya CCM waliopata
kura 20.
Meya mpya ni Boniface Jacob. Manispaa ya Ilala zoezi bado linaende… Read More
#YALIYOJIRI>>>Bandarini Hapakaliki,Wakurugenzi Watatu Wapigwa Chini na Kuhamishiwa Wizarani, Vigogo TCAA Wasimamishwa Kwa Ufisadi.Fahamu zaidi hapa.
SERIKALI
imeendelea kuisafisha Bandari kwa kuwaondoa watendaji wa ngazi za juu
na kuwahamishia wizarani ili kuongeza ufanisi katika utendaji, sambamba
na kuongeza ukusanyaji wa mapato.
Wakati hayo yakitokea Bandar… Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yazifunga Redio 28 Kwa Kushindwa Kulipa Ada ya Leseni.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
imezifungia redio 28 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kushindwa
kulipa ada za leseni na kutimiza masharti yaliyowekwa na Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Akizungumza
jana jijini Da… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mbunge wa Kawe Halima Mdee, Ashinda kesi ya Uchaguzi dhidi ya Kippi Warioba.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imefuta kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi
wa Ubunge, iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa kiti hicho kupitia
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, dhidi ya Mbunge wa Kawe,
H… Read More
0 comments:
Post a Comment