Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Siku ya Leo.
Bonyeza Links zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply;6 Job Opportunities at TANAPA, Tourism Promotion Assistant7 Job Opportunities at TANAPA, Office SecretariesJob Opportunity at Projects Abroad Tanzania, Medical Coordinator14 J…Read More
Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA) Kigoma Akamatwa.
Jeshi la polisi linamshikilia Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA),
Mhandisi Mgalla Mashaka kwa tuhuma za kushindwa kukarabati Shule ya
Sekondari Kigoma.
Meneja huyo alikamatwa akituhumiwa kushindwa kukarabati shule ya
sek…Read More
Mbunge Sadifa Aachiwa kwa Dhamana Apewa Masharti Magumu.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma iemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis (Mbunge) anayekabiliwa na mashtaka ya kutoa rushwa wakati wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa UVCC…Read More
0 comments:
Post a Comment