Mahakama Yamuonya Agness Masogange.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya dawa za kulevya inayomkabili
msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange baada ya kutohudhuria
kesi hiyo mahakamani.
Kesi
hiyo ambayo imetajwa kwa mara ya kwan…Read More
Rayvanny Akataa Penzi la Jimama la Kenya.Fahamu zaidi hapa.
STAA wa Bongo Fleva ambaye ni memba wa Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’
inayomilikiwa na msanii mkubwa nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Raymond
‘Rayvanny’ amekataa ofa ya penzi iliyotolewa na mwanamke mmoja kutoka
Kenya…Read More
0 comments:
Post a Comment