Thursday 16 June 2016

Breaking News>>>Polisi Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima.Fahamu zaidi hapa.

Taarifa zilizotufikia muda huu zinasema Polisi 6 wakiwa ndani ya Landcruiser wamezingira nyumbani kwa Askofu Josephat Gwajima. 

Sababu za kufanya hivyo bado hazijafahamika, tutaendelea kuwajuza kadri tunavyoendelea kupata taarifa.
                       KWA HABARI ZAIDI>>>BOFYA HAPA.

0 comments:

Post a Comment