Wednesday 15 June 2016

ETO’O AMEAMUA KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA KITAMBO.Fahamu zaidi hapa.

Nyota wa Cameroon na soka la Afrika Samuel Eto’o aliyewahi kutamba na vilabu maarufu vya Ulaya kama FC Barcelona, Inter Milan na Chelsea amefunga pingu za maisha June 14.

Eto’o ameamua kufungia ndoa yake nchini Italy na mpenzi wake waliyedumu kwa miaka mingi anayefahamika kwa jina la Georgette Tra Lou.

0 comments:

Post a Comment