Thursday 16 June 2016

Picha: Kim Kardashian arudi tena na picha za utupu kwenye Cover la jarida la GQ (18+).Fahamu zaidi hapa.

Kim Kardashian amerudi tena na picha za utupu kwenye cover la toleo jipya la jarida namba moja la mitindo, jarida la GQ, toleo hili limepewa jina la “Love, Sex, and Madness”

 Hii ni mara ya kwanza Mama huyo wa watoto wawili anatokea kwenye jarida hilo.
Kwa picha zaidi>>>Bofya Hapa.

0 comments:

Post a Comment