Thursday 16 June 2016

Picha: Sauti Sol na 2face washoot video mpya Kenya.Fahamu zaidi hapa.

Wasanii wa kundi la muziki la Kenya, Sauti sol na mwanamuziki mkongwe wa Naija, 2face Idibia aka 2Baba wameingia location kushoot video ya wimbo wao wa “Oya Make We Go” Siku ya jana, Juni 14.

0 comments:

Post a Comment