Wednesday 25 January 2017

#Breaking News>>>Katibu Mkuu wa Simba Patrick Kahemele Aachia Ngazi ..!!!.Fahamu zaidi hapa.

Taarifa tulizozipata kutoka kwa  Kahemele zinaeleza aliandika barua na kamati ya utendaji ya Simba, imepitisha hilo.

Upande mwingine wa taarifa, umeeleza Kahemele anarejea na kujiunga na Azam TV ambako alikuwa akifanya kazi kabla.

“Kweli anaondoka, leo kamati ya utendaji ya Simba imekubaliana naye,” kilieleza chanzo.

Juhudi za kuwapata viongozi wa Simba walizungumzie hilo, zinaendelea.


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment