Sunday 22 January 2017

Diva ndani ya Penzi Jipya na Mwanamuziki wa Bongo Flava.Fahamu zaidi hapa.

Diva ndani ya Penzi Jipya na mwanamuziki wa Bongo Flava anayejulikana kama Heri Muziki, penzi la wawili hao lilianza baada ya Diva kumwalika Mwanamuziki huyo katika kipindi cha Ala za roho kinachorushwa na Redio ya Clouds Fm.

Diva amepost ushahidi wa penzi lao kw kupost video wakidendeka na kuandika haya hapa chini
.
#Regrann from @divathebawse - @herimuziki is The Key to My Happiness .. i chose to be Happy 💞


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment