Sunday 22 January 2017

Young killer amjibu John Makini haya.

Young killer afunguka haya baada ya watu kuzungumzi nyimbo mpya ya Young killer kuwa  John Makini anabebwa haya ndio maneno ya Young killer "katika ngoma yangu akuna mstali ambao unamzungumzia John Makini anabebwa ila nimezungumzia maoni yanayosemekana".



Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment