Wednesday 25 January 2017

VIDEO: Waziri Mkuu Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Chai Cha Lupembe......Hapa Kuna Video ya Mambo Yote Aliyosema Kuhusu Viwanda Nchini.Fahamu zaidi hapa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametembelea  kiwanda cha chai cha Lupembe ili kukikagua ambapo amezungumza na wafanyakazi kuhusu azma ya serkali katika kufufua na kujenga viwanda hapa nchini.  Waziri mkuu  yupo ziarani   mkoa wa Njombe.

==> Tazama video hapo chini kujua alichokiongea


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment