Sunday 22 January 2017

Diamond Platnumz athibitisha Kolabo zake nyingine mbili na Wasanii wawili wa Kimataifa.Fahamu zaidi hapa.

Ukiachana na Kolabo alizofanya mwaka jana Diamond Platnumz bado hajapunguza kasi ya kolabo na mwaka huu kolabo zake nyingi zitakuwa ni za kimataifa zaidi tena kuvuka Bara la Afrika.

Diamond Platnumz kupitia Insta Live amesema mwaka huu atafanya Kolabo na msanii maarufu Duniani kutoka Colombia Shakira na pia kama haitoshi kathibitisha wimbo wake wa I miss u remix aliofanya na Jaypraizah kutoka Zimbabwe kuwa upo tayari na video imeshafanyika anasubiri uongozi tu kuutoa.




Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment