Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Q Chief Azungumzia Ujio Wake Mpya Baada ya Kuweka Kambi ya Wiki Moja South Africa.Fahamu zaidi hapa.
Mwimbaji Q Chief amerejea nchini akitokea Afrika Kusini baada ya kuweka
kambi nchini humo kwa wiki kadhaa kwa ajili ya kuandaa video yake mpya
aliyoshoot na director mashuhuri, Justin Campos.
Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Q Chief amesema alienda kushoot video ya wimbo wake mpya Afrika Kusini ili kupata kitu kizuri.
“Mashabiki wasione ukimya, kuna mambo mazuri soon yanakuja, videos
pamoja na mambo mengi mapya,” alisema Q Chief. “Nimetoka Afrika Kusini
hivi karibuni kwa ajili ya video yangu mpya, nimefanya na Justin Campos,
kwa hiyo mashabiki wakae mkao wa kula,”
Pia mwimbaji huyo amewashukuru mashabiki wake pamoja na media kwa kuendelea kusupport muziki wake.
Related Posts:
Saida Karoli Asimulia Alivyoporwa Haki Zake Katika Muziki Kisa Kutojua Kusoma na Kuandika.Fahamu zaidi hapa.
Jana kupitia kipindi cha Take One cha Clouds TV, mtangazaji Zamaradi alimuhoji mwimbaji wa muziki wa asili Saida Karoli ambapo alikiri
kuwa hana haki kwenye nyimbo zake kutokana na mikataba aliyosainishwa… Read More
Joket Atoa ya Moyoni Baada ya Ali Kiba Kumkana Hadharani...!!!.Fahamu zaidi hapa.
SIKU chache baada ya msanii wa kizazi kipya, Ali Kiba, kudai kuwa
anamchukulia mwanamitindo Jokate Mwegelo kama rafiki yake, mrembo huyo
ameibuka na kusema huenda aliteleza kutoa kauli hiyo.
Jokate alitoa kauli hiyo m… Read More
Flora Mbasha Adaiwa Kupigwa Mimba.Fahamu zaidi hapa.
WAKATI vikao vya harusi yake vikiwa vinaendelea kusubiri kufunga ndoa
Aprili mwaka huu, nyota mkubwa wa nyimbo za Injili, Madame Flora, ambaye
ni maarufu zaidi kama Flora Mbasha, anadaiwa kupata ujauzito, Risasi
Mchangan… Read More
Uwoya Ampa Tano JK kwa Kupenda Wanawake…!!!.Fahamu zaidi hapa.
Muigizaji Irene Uwoya amemshukuru Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwa
kuwathamini na kuwaamini wanawake kwa kuwapa nafasi za juu katika
kuongoza taifa la Tanzania.
Uwoya kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuw… Read More
Diamond Afanya Kufuru Nyingine,Baada ya Marry Me ya Neyo,Mzigo Huu Ndio Unaofuata..!!!!.Fahamu zaidi hapa.
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’,
amesema wakati wowote kuanzia sasa ataachia albamu yake mpya
inayokwenda kwa jina la ‘Nothing But Bongo Fleva’.
Diamond ambaye kwa sasa anatamba… Read More
0 comments:
Post a Comment