Serikali imepiga marufuku uingizwaji wa makaa ya mawe na gypsum(jasi)kutoka nje ya nchi kwa kuwa yaliyopo hapa nchini yanalitosheleza Taifa.
Hayo yamezungumzwa na Naibu Waziri wa Nishati na madini Medard Kalemani katika hitimisho la kikao na wazalishaji wa makaa ya mawe na gypsum (jasi).
0 comments:
Post a Comment