Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea kiwanda cha kutengenezea suruali za Jeans.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati
alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo
la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016.
Kulia
kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dr.
Adelhem Meru na wapili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho,
Rigobert Massawe.
Related Posts:
RPC Aweka Wazi Sababu Kukamatwa Msigwa
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, (RPC) Julius Mjengi amefunguka na kuweka wazi sababu zilizopelekea kumkamata Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na kudai kuwa walimkamata wakimtuhumu kuratibu kuchoma na kubomoa… Read More
Mbowe Atua Mbeya Kusikiliza Kesi ya Sugu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman Aikael Mbowe, leo amefika
Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili
Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda
ya Nyasa, Emma… Read More
Serikali Imevunja Mkataba na Wakala wa Majengo TBA.
SERIKALI imevunja mkataba na Wakala wa Majengo TBA baada ya kutoa
taarifa za uongo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu ujenzi wa
majengo ya Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Butiama na halmashauri mpya Wilaya
ya Butiama mko… Read More
Matumizi ya Bangi Yahalalishwa na Gavana Bila Kupiga Kura Marekani.
Kwa mara ya kwanza, jimbo la Marekani limehalalisha bangi kwa kuweka saini na si kwa kupiga kura.Gavana wa jimbo la Vermont, Phil Scott amesaini muswada wa sheria namba 511 (House Bill 511) ambao unahalalisha kumiliki bangi… Read More
Kenya Yatengeneza Setilaiti Yake ya Kwanza,
Kenya imetengeneza setilaiti yake ya kwanza kabisa ambayo imepangiwa kurushwa anga za juu Machi mwaka huu.Wahandisi kutoka chuo kikuu cha Nairobi, wakisaidiwa na maafisa kutoka shirika la anga za juu la Japan walitenengeza … Read More
0 comments:
Post a Comment